Wednesday, December 7, 2011

KILONZO AFURAHIA BANDA LA RUKWA KWENYE MAONESHO YA MIAKA 50 YA UHURU VIWANJA VYA MWL. J.K NYERERE DAR


Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mipango Sekretarieti ya Mkoa wa Rukwa Ndugu David Kilonzo (kulia) akionekana mwenye furaha baada ya kutembelea banda la Rukwa kwenye Maonesho ya Miaka 50 ya Uhuru katika Viwanja vya J.K. Nyerere jijini Dar es Salaam. Kushoto aliyeshikana naye mkono ni Ndugu Florence Chrisant Mchumi Sekretarieti ya Mkoa wa Rukwa.

No comments:

Post a Comment