Sunday, December 4, 2011

WAZIRI WA TAMISEMI ATEMBELEA BANDA LA RUKWA KATIKA MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA UHURU DAR

Aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Rukwa ambaye sasa ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe. Jorge Huruma Mkuchika (MB) alipotembelea banda la Rukwa leo asubuhi katika viwanja vya Mwl. J.K. Nyerere (Sabasaba) barabara ya Kilwa Jijini Dar es Salaam. 

Mhe. Mkuchika akizungumza na wataalam kutoka Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Rukwa katika moja ya banda la Rukwa

Hapo akitazama Ramani ya Itakavyokuwa Mikoa ya Rukwa na Katavi.

No comments:

Post a Comment