Saturday, January 14, 2012

MDAHALO WA KUHAMASISHA WANANCHI KUSHIRIKI KATIKA MCHAKATO WA KUPATA KATIBA MPYA WAANZA MKOANI RUKWA

Mbunge wa jimbo la Kalambo, Josephat Kadege akizungumza na wananchi wa
jimboni kwake jana wakati akifungua mdahalo wa kuhamashisha
wananchi wengi kushiriki katika mchakato wa kupata katiba mpya.

Mkazi wa tarafa ya Matai katika jimbo la Kalambo wilayani Sumbawanga,
Agustino Machenguli, akichangia mada katika mdahalo huo leo asubuhi.

Baadhi ya wananchi wakiongozana na Mbunge wa jimbo la
Kalambo, Josephat Kandege leo asubuhi wakati wa mdahalo wa
kuhamashisha wananchi wengi kushiriki katika mchakato wa kupata katiba
mpya. (
Picha na Musssa Mwangoka)

No comments:

Post a Comment