Tuesday, February 14, 2012

ANGALIZO LA NAMNA YA KUTEMBELEA KURASA ZA BLOGU HII

  1. Katika Blogu hii, hakuna picha au taarifa yeyote inayoondolewa baada ya kuonekana ukurasa wa kwanza, bali inahamia ukurasa wa pili au wa tatu na kuendelea kutokana na wingi wa taarifa zinazowekwa humu.
  2.  
  3. Ukitaka kuhamia kurasa zingine zilizopita, nenda hadi chini kulia kwako bofya "Older Posts" kuona kurasa za nyuma ambazo pengine ulikosa kuziona. Fanya hivyo tena na tena kuona kurasa zote katika Blogu yetu. 

  4. Ukitaka kurudi mwanzo nenda chini kabisa, katikati bofya "Home" kurudi ukurasa wa mwanzo wa blogu hii.
  5.  
  6. Ukitaka kutafuta habari kwa jina la mtu, sehemu au kitu nenda kulia utaona kisanduku juu yake kimeandikwa Tafuta/ Search andika unachikitaka hapo alafu bofya Search subiri kwa muda utaona majibu ya ulichokiandika. Mfano ukitaka kupata habari za mpanda bofya "mpanda" alafu search.
  7.  
  8. Kama umevutiwa na habari, picha au kero na maoni yako unaweza kuandika kwa kubofya sehem iliyoandikwa "comments" ambayo ipo chini ya kila habari (post) chagua annonymus kama hutaki ujulikane au chagua hizo nyingine kama unataka ufahamike.

Kwa yeyote mwenye habari au picha nzuri za kuelimisha na kuhabarisha jamii unaweza kututumia kupitia tembs2001@gmail.com. 

No comments:

Post a Comment