Monday, March 5, 2012

RC RUKWA ASHIRIKI HAFLA YA KUWAKARIBISHA WANAFUNZI WAPYA CHUO CHA UANDISHI WA HABARI DSJ DAR ES SALAAM

Wanafunzi walivyohamasika kwenye hafla hiyo ambapo pia walifanya mashindano ya kumtafuta Miss na Mr. DSJ 2012 iliyofanyika katika ukumbi wa Dar Live Mbagala Dar es Salaam juzi

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa ambaye pia ni Mbunge wa Viti Maalum Songea akitoa nasaha zake kwa wanafunzi wa Chuo cha Uandishi wa Habari cha Dar es Salaam, aliwahusia kujifunza kwa bidii ili waje kuwa waandishi wenye kufuata ueledi wa tasnia ya habari nchini
Injinia Manyanya Mkuu wa Mkoa wa Rukwa na Mbunge Viti Maalum Songea akikabidhi zawadi kwa Miss DSJ 2012 Loveness Moris
Mr. DSJ 2012 Charles Yessaya kikabidhiwa zawadi ya ushindi ni Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Injinia Stella Manyanya. Kushoto kwa Injinia ni Rais wa chuo hicho Magreth Kiando

No comments:

Post a Comment