Monday, March 12, 2012

RAIS KIKWETE AKAGUA MIRADI YA UMWAGILIAJI KIJIJINI MSOGA WILAYANI BAGAMOYO

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikagua chanzo cha maji katika mradi wa umwagiliaji maji katika kijiji cha Msoga,wilayani Bagamoyo, mkoa wa Pwani jana mchana.Kulia ni Mkuu wa mkoa wa Pwani Bi.Mwantumu Mahiza na kushoto ni mwenyekiti wa kijiji cha Msoga Bwana Herman Katoto Semindu.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na mkulima Selemani Ramadhani katika shamba la kijiji lililopo katika mradi wa umwagiliaji katika kijiji cha Msoga kilichopo wilayani Bagamoyo jana asubuhi wakati alipotembelea kukagua maendeleo ya mradi.Jumla ya hekta mia nne zimetengwa kwa ajili ya mradi huo (picha na Freddy Maro)

No comments:

Post a Comment