Monday, April 9, 2012

BEI YA KUKU KATIKA MSIMU HUU WA SIKUKUU YA PASAKA

Mwandishi wa Habari, Sammy Kisika wa Rukwa, akiangalia kuku ili aweze kununua kwaajili ya kumtumia kama kitoweo katika sikukuu ya Pasaka, kutoka kwa mchuuzi wa biashara hiyo Abeli Ambakingile ambapo bei ya kuku imepanda kwa kasi mjini hapa kutoka Sh. 9000 hadi 15000 katika kipindi hiki cha kuelekea sikukuu hiyo ijayo.Picha na Mussa Mwangoka.

No comments:

Post a Comment