Friday, April 13, 2012

RUKWA PRESS CLUB YAPATA VIONGOZI WAPYA, NI BAADA YA KUSHINDA UCHAGUZI, KUONGOZA CHAMA HICHO KWA KIPINDI CHA MIAKA MINNE IJAYO

MWENYEKITI wa Klabu ya  Waandishi  wa  Habari  Mkoa  wa Rukwa (Rukwa Press Club ) aliyemaliza muda wake Felician  Simwela (kushoto ) akimkabidhi  Cheti  cha   usajili  cha  chama  hicho Mwenyekiti  mpya  wa  Klabu hiyo  Peti  Siyame (kulia ) katika  makabidhiano  yaliyofanyika jana   katika  ofisi  ya  klabu hiyo  mjini  Sumbawanga  kufuatia  uchaguzi  mkuu   uliofanyika hivi karibuni na kuwachagua   viongozi  wapya   ambao  wataiongoza  klabu hiyo  kwa   kipindi  cha miaka   minne  ijayo. Mwenyekiti msaidizi ni Mussa Mwangoka, Katibu, Sami Kisika na Muweka hazina ni Juddy Ngonyani. (Picha na Rukwa Press Club)

No comments:

Post a Comment