Tuesday, December 4, 2012

NI NINI MAONI YAKO KWENYE PICHA HII

Mkazi wa kijiji cha Sitalike wilayani Mlele katika mkoa wa Katavi ambaye jina lake halikuweza kufahamika mara moja akiwa amening'iniza minofu ya nyama ya ng'ombe mbele ya nyumba yake akisubiri wateja hivi karibuni.

No comments:

Post a Comment