Wednesday, January 8, 2014

HOTUBA YA MKUU WA MKOA WA RUKWA KWA WAJUMBE WA KIKAO CHA KWANZA CHA KAZI CHA KUFUNGUA MWAKA MPYA 2014 KILICHOFANYIKA KATIKA UKUMBI WA RDC MKOANI HUMO

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Injinia Stella Manyanya akitoa hotuba ya ufunguzi kwenye kikao cha kwanza cha kazi katika kufungua mwaka mpya 2014 katika ukumbi wa RDC Mkoani humo. 
Kabla ya ufunguzi wa kikao hicho ulitanguliwa na wimbo wa taifa ambapo washiriki wote walisimama na kuimba kwa pamoja. Pichani Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Injinia Stella Manyanya, Kaimu Katibu Tawala Mkoa wa Rukwa Albinus Mugonya, Mkuu wa Wilaya ya Nkasi Iddi Kimanta kulia na Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga Methew Sedoyyeka wapili kulia.
Wajumbe wa kikao hicho wakiimba wimbo wa taifa.

No comments:

Post a Comment