Friday, March 7, 2014

MTAANI LEO MJINI SUMBAWANGA

Mwananchi ambae jina lake halikupatikana akiwa anahangaika na mfugo wake maarufu kama kitimoto ili kumuweka sawa katika baiskeli yake na kumsafirisha kusikojulikana. Usafiri wa baiskeli umekua ukitumika katika namna mbalimbali ikiwemo kusafirisha watu na hata mifugo kama invyoonekana pichani. Hii ikoje? Toa maoni yako............
Mpitanjia kulia akishuhudia tukio hilo

No comments:

Post a Comment