Thursday, February 19, 2015

KAMATI TEULE YA KUHAMASISHA MATUMIZI YA MASHINE ZA KIELEKTRONIKI (EFD) MKOANI RUKWA YAFANYA KIKAO CHAKE CHA KWANZA LEO

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Eng. Stella Manyanya akiongoza kikao cha kwanza cha Kamati ya Uhamasishaji wa Matumizi ya Mashine za Kielektroniki (EFD) kwa Mkoa wa Rukwa leo tarehe 19 Februari 2015. Kamati hiyo yenye wajumbe kumi wa kuteuliwa inaongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Rukwa ambaye ni Mwenyekiti, Makatibu wawili kutoka mamalaka ya mapato TRA na wengine ni wajumbe.  
 Ndugu John Ernest Palingo (kushoto) Kaimu Meneja wa TRA Mkoa wa Rukwa akisoma taarifa ya Kamati katika kikao hicho. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Eng. Stella Manyanya(Mwenyekiti wa Kamati).
Picha ya pamoja.

No comments:

Post a Comment