Monday, February 23, 2015

KAMATI YA USHAURI YA EWURA (RCC) MKOA WA RUKWA YAIBUKA WASHINDI WA KAMATI ZA MIKOA KITAIFA 2014

Mwenyekiti wa Kamati ya EWURA Mkoa wa Rukwa Bi. Fausta Valery akimkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Eng. Stella Manyanya picha maalum ya pamoja ya Kamati hiyo baada ya kukabidhiwa cheti katika hafla iliyofanyika katika ukumbi wa Dodoma Inn kuanzia tarehe 16-18, Februari 2015.
Katika picha hiyo waliokaa kushoto ni Ndugu William Mwaisumo (Katibu wa Kamati), Bi. Fausta Valery Kalyalya (Mwenyekiti) na Bi. Catherine Meja (Mjumbe). Wajumbe waliosimama kushoto ni Daniel Mtweve, Zamda Madaba na Dany Hinjo.

No comments:

Post a Comment