Sunday, June 26, 2016

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa atembelea SAAFI kuona Uwekezaji

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Kamishna Mstaafu Zelote Stephen akikabidhiwa Zawadi na Mzee Chrisant Mzindakaya, mmiliki wa asilimia 75 wa kiwanda cha nyama cha SAAFI baaada ya Kuzungukia Kiwanda hicho mjini Sumbawanga.
Ng'ombe baada ya Kuchinjwa na Mashine katika Kiwanda cha Nyama cha SAAFI, Sumbawanga

Ng'ombe Baada ya Kuchinjwa akianza kuchunwa ngozi katika Kiwanda cha Nyama cha SAAFI, Sumbawanga

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Kamishna Mstaafu Zelote Stephen akivaa vazi maalum kwaajiliya kuzunguka kwenye kiwanda cha nyama cha SAAFI kuona namna kinavyofanya kazi

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Kamishna Mstaafu Zelote Stephen (katikati) Mzee Chrisant Mzindakaya (wa kwanza kushoto) pamoja na  Mkuu wa Wilaya  ya Sumbawanga Mh. Mathew Sedoyyeka, wakijiandaa kuzunguka kwenye kiwanda cha nyama cha SAAFI kuona uwekezaji.
Wa kwanza kutoka kulia ni  Mkuu wa Wilaya  ya Sumbawanga Mh. Mathew Sedoyyeka, anefuata ni Mzee Chrisant Mzindakaya, anaefuata ni Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Kamishna Mstaafu Zelote Stephen, halafu Aboubakar Kunenge Kaimu RAS Mkoa na Muelekezaji.
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Kamishna Mstaafu Zelote Stephen wa pili kutoka Kushoto pamoja na timu aliyoongozana nayo wakiwa katika Maabara ya kupimia ubora wa Nyama ya Ng'ombe katika Kiwanda cha Nyama cha SAAFI Mjini Sumbawanga.

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Kamishna Mstaafu Zelote Stephen akioneshwa aina ya mbegu za mahindi na Bi. Teresia Mzindakaya Mjasiriamali, pamoja na Mzee Chrisant Mzindakaya (wa kwanza kulia)


Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Kamishna Mstaafu Zelote Stephen akiangalia Ng'ombe wanaomilikiwa na Mzee Chrisant Mzindakaya katika moja ya mashamba yake wakati Mkuu wa Mkoa alipotembelea.

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Kamishna Mstaafu Zelote Stephen (katikati) akiwa na  Mkuu wa Wilaya  ya Sumbawanga Mh. Mathew Sedoyyeka (kulia) na Mzee Chrisant Mzindakaya katika moja ya mashamba yanayomilikiwa na Mzee Mzindakaya


Mzee Chrisant Mzindakaya (wa Kwanza Kushoto) akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Kamishna Mstaafu Zelote Stephen wakiangalia ng'ombe.


No comments:

Post a Comment