Tuesday, July 12, 2016

Mkoa wa Rukwa wapokea ripoti ya Uchaguzi Mkuu wa 2015 kutoka NEC

Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga Dk. Halfan Haule (katikati) akimwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Rukwa katika Makabidhiano ya Ripoti ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2015 kwa Mkoa wa Rukwa iliyotolewa na Tume ya Uchaguzi ya Taifa iliyowakilishwa na Janeth Kimati (wa kwanza kulia waliokaa) na Kaimu katibu Tawala Mkoa wa Rukwa David Kilonzo (wa kwanza kushoto waliokaa)

Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga Dk. Halfan Haule akipokea ripoti ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika mwaka 2015 kutoka kwa Mwakilishili kutoka Tume ya Uchaguzi ya Taifa Janeth Kimati katika Ofisi za Mkuu wa Mkoa. 

Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga Dk. Halfan Haule akipokea ripoti ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2015 kutoka kwa Katibu Tawala Msaidizi Aboubakar Kunenge.

Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga Dk. Halfan Haule akionyesha ripoti za Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015 kwa Moa wa Rukwa alizopokea kutoka kwa mwakilishi wa Tume ya Uchaguzi ya Taifa.

Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga Dk. Halfan Haule akisoma hotuba fupi ya Shukrani kwa uongozi wa Moa wa Rukwa pamoja na Mwakilishi wa Tume ya Uchaguzi ya Taifa.

No comments:

Post a Comment