Monday, July 11, 2016

Mwenge Ulipoingia Wilaya ya Nkasi Kutoka Sumbawanga.

Mkuu wa Wilaya ya Sumbwanga Dk. Halfan Haule akisoma risala ya miradi mbalimbali iliyofanyika Kwenye Manispaa Sumbawanga

Mkimbiza Mwenge Kitaifa Nahoda Makae Nahoda akibadilishiwa Skafu mpya ishara ya kuhama kwa Mwenge kutoka Halmashauri kutoka Manispaa ya Sumbawanga kwenda Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi

Mkuu wa Wilaya ya Nkasi Mh. Said Mtanda akimkaribisha Mkimbiza Mwenge Kitaifa Nahoda Makae Nahoda katika Wilaya yake. 

Mkuu wa Wilaya ya Sumbwanga Dk. Halfan Haule akiagana na Kiongozi wa mbio za Mwenge George Jackson Mbijima wakati Mwenge ulipokuwa ukihama kutoka Halmashauri ya Manispaa ya Sumbawanga kwenda Halmashauri ya Manispaa ya Nkasi.

Kutoka Kushoto, Mkurugenzi wa Halmashauri ya manispaa ya Sumbawanga Hamid Njovu, Katibu Tawala wa Wilaya ya Sumbawanga Christina George Nzera, Mkuu wa wilaya ya Sumbawanga Dk. Halfan Haule na Afisa Michezo wa Manispaa ya Sumbawanga Adam Evarist wakiuangalia Mwenge (haupo pichani) ukielekea Wilaya ya Nkasi.

Umati kutoka Wilaya ya Nkasi Ukiusubiri kwa Hamu Mwenge wa Uhuru ukitokea wilaya ya Sumbawanga

Muu wa Wilaya ya Nkasi Mh. Said Mtanda akimkaribisha Mkimbiza Mwenge wa Kitaifa Lucia Makafa katika Wilaya ya Nkasi.

Kiongozi wa mbio za Mwenge George Jackson Mbijima akisindikizwa na Skout kutoka Wilaya ya Sumbawanga na kuingia Wilaya ya Nkasi

Muu wa Wilaya ya Nkasi Mh. Said Mtanda akimkaribisha Kiongozi wa mbio za Mwenge George Jackson Mbijima katika Wilaya ya Nkasi.

Mkuu wa wilaya ya Sumbawanga Dk. Halfa Haule akimkabidhi Mwenge wa uhuru Muu wa Wilaya ya Nkasi Mh. Said Mtanda.

Mkuu wa Wilaya ya Nkasi Mh. Said Mtanda akiupokea Mwnge wa Uhuru kutoka kwa Mkuu wa wilaya ya Sumbawanga Dk. Halfa Haule 

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi Julius Mselechu akiupokea Mwenge wa Uhuru ikiwa ni ishara ya kuendelea nao katika Miradi ya Halmashauri hiyo.

Magari ya Msafara wa Mwenge Ukisubiriri Kuingia Wilaya ya Nkasi Ukitokea Wilaya ya Sumbawanga.


No comments:

Post a Comment