Friday, July 8, 2016

Mwenge Ulivyoingia Manispaa ya SumbawangaMkuu wa Wilaya ya Sumbawanga Dk. Halfan Haule akiukaribisha Mwenge katika Halmashauri ya MAnispaa ya Sumbawanga. 


Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Sumbwanga Hamid Ahmed Njovu akiupokea Mwenge wa Uhuru kutoka kwa wakimbiza Mwenge Kitaifa wakitokea Halmashauri ya Wilaya ya Kalambo.

Wakimbiza Mwenge Kitaifa Kuanzia kulia ni Nahodha Makame Nahodha, Alex Christopher Kayuni, Munira Said Abbas, Lucia Vitalis Makafa na James Sadick Munguji wakiwa tayari kwa kuukimbiza Mwenge katika Halmashauri ya Manispaa ya Sumbawanga

Kiongozi wa wa Mbio za Mwenge Kitaifa George Jackos Mbijima akisalimiana na Mmoja wa Viongozi wa Chama cha Mapinduzi wakati akiingia katika Halmashauri ya Manispaa ya Sumbawanga.
Mkuu wa Wilaya ya Kalambo Mh. Julieth Binyura akimkabidhi mwenge wa Uhuru Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga Dk. Halfan Haule.
Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga
Dk. Halfan Haule akiupokea Mwenge wa Uhuru kutoka kwa 
Mkuu wa Wilaya ya Kalambo Mh. Julieth Binyura
Tayari kukimbiza Mwenge, Kutoka Kulia ni Kiongozi wa Mbio za Mwenge George Jackson Mbijima, Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga Dk. Halfan Haule, Christina Mzena, Katibu Tawala wa Wilaya ya  Sumbawanga na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Sumbwanga Hamid Ahmed Njovu No comments:

Post a Comment