Friday, September 23, 2016

Mkuu wa Mkoa awaonya wanafunzi kulinda mabweni yao dhidi ya matukio ya Moto

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Kamishna Mstaafu Zelote Stephen alifanya ziara ya Kushtukiza katika shule ya sekondari Miangalua katika kata ya Miangalua, wilayani Sumbawanga kwa lengo la kuangalia ulinzi na Usalama wa mabweni wa Shule hiyo.


No comments:

Post a Comment