Wednesday, November 16, 2016

"Tujengeeni Barabara Imara" Kamishna Mstaafu Zelote Stephen


Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Kamishna Mstaafu Zelote Stephen alipotembelea ujenzi wa Barabara ya kasense, iliyopo Manispaa ya Sumbawanga, inayojengwa na SUMRY CO. LTD. Na kuwaasa wakandarasi hao kujenga barabara imara za kudumu ili serikali isiwe inapoteza pesa nyingi kujenga barabara kila mara. 

No comments:

Post a Comment