Friday, December 2, 2016

Mkuu wa Mkoa aliposikiliza vilio vya watumiaji wa Stendi kuu ya mabasi - Sumbawanga.

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Kamishna Mstaafu Zelote Stephen, Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga Dk. Halfan Haule pamoja na Katibu Tawala wa Mkoa Tixon Nzunda wakishirikiana Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa na Wilaya walipokwenda stendikuu ya mabasi ya mjiniSumbawanga na kuweza kusikiliza vilio vya watumiaji wa stendi hiyo. 


No comments:

Post a Comment