Saturday, December 10, 2016

Video: "Mambo ya watumishi yakikaa vizuri nao watafanya kazi vizuri" Mh. Angellah Kairuki


Waziri wa nchi ofisi ya Rais, Utumishi na Utawala Bora Mh. Angellah Kairuki alityasema hayo siku alipofungua kikao kazi cha TASAF katika Ukumbi wa Manispaa ya Sumbawanga. Kikao ambacho kiliwajumuisha Wakuu wa Mikoa ya Katavi na Rukwa, pamoja na makatibu Tawala wao, wakiwa na wakuu wa Wilaya wa Mioa hiyo pamoja na Wakurugenzi watendaji wa Halshauri za Wilaya hizo.

No comments:

Post a Comment