Friday, December 2, 2016

Video: Wakati na Baada ya ajali ya moto katika soko la Mandela. 29/10/2016

Tarehe 29/10/2016 kulitokea ajali ya moto katika soko la Nelson Mandela katika Mji wa Sumbawanga na kusababisha hasara kubwa kwa wafanyabiashara 1500 wa soko hilo linalotegemewa na Wilaya tatu za Mkoa wa Rukwa.


No comments:

Post a Comment