Sunday, January 8, 2017

Mh. Zelote Stephen asisitiza maafisa kilimo kuwa na wakulima bega kwa bega

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Kamishna Mstaafu Zelote Stephen amewaagiza maafisa ugani wa kilimo kuwa bega kwa bega na wakulima hasa katika kipindi hichi cha msimu wa kilimo ambao mvua zake hazitabiriki. aliyasema hayo siku ya kufanya majumuisho ya ziara yake ya siku 8 katika Halmashauri 4 za Mkoa wa Rukwa. kikao ambacho kilihudhuriwa na wakuu wa idara kutoka katika halmashauri zote pamoja na wakuu wa wilaya.


No comments:

Post a Comment