Sunday, February 26, 2017

"Kama ofisi ya Serikali haijapandwa miti utawashawishi vipi wananchi," Mh. Zlote Stephen

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Kamishna Mstaafu Zelote Stephen amemuagiza Katibu Tawla wa Wilaya ya Sumbawanga Kumchukulia Hatua Afisa Tarafa wa Tarafa ya Mpui kwa kukaidi agizo lake la kupanda miti wakati alipomtembelea ofisi hapo mwezi wa 9 mwaka jana. 

Mkuu wa Mkoa amekuwa akiwasisitiza watendaji wa serikali kuhakikisha kuwa wanakuwa mfano katika jamii ili kuweza kuishawishi jamii katika kampeni ya kupanda miti ili kuuepusha Mkoa wa Ruwa kuwa jangwa 


No comments:

Post a Comment