Sunday, February 5, 2017

Video:Mh. Zelote Stephen awatembelea wagonjwa wa kipindupindu kuwapa pole

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Kamishna Mstaafu zelote Stephen amewatembelea wagonjwa wa kipindupindu katika zahanati ya Mkinga, Kijiji cha Mkinga wilayani Nkasi, kwa lengo la kujua chanzo na kuchukua hatua za udhibiti wa usambaaji wa ugonjwa huo,ambapo mpaka anafika hapo palikuwa na wagonjwa 18.
Katika Zoezi hilo alisindikizana na Mkuu wa Wilaya ya Nkasi Mh. Said Mtanda. 


No comments:

Post a Comment