Monday, February 27, 2017

Mh. Zelote awaasa wanafunzi kujiepusha na madawa ya Kulevya

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Kamishna Mstaafu Zelote Stephen amewaasa wanafunzi wa shule za sekondari juu ya kujiepusha na matumizi ya madawa ya kulevya baada ya kutembelea shule za sekondari katika ziara yake ya kukagua miradi mbalimbali ya kimaendeleo katika Wilaya ya Sumbawanga.No comments:

Post a Comment