Sunday, February 26, 2017

RC Rukwa asikitishwa na utekelezaji wa Miradi ya SEDEP

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Kamishna Mstaafu Zelote Stephen amesikitishwa na utekelezaji wa Miradi ya ujenzi wa madarasa kwa shule za sekondari SEDEP kutokana na ubora wa madarasa hayo, na kuagiza ofisi yake kufanya tena uchunguzi juu ya matumizi ya pesa za Miradi hiyo.

aliyasema hayo alipozungukia shule nne za sekondari ya Kipeta, Kaoze, Kikwale na Milea katika bonde la ziwa Rukwa atika ziara yake ya kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo katika Mkoa.


 Video; Shule ya Sekondari Kaoze


Video: Shule ya Sekondari Milenia

Video: Shule ya Sekondari Kikwale

No comments:

Post a Comment