Sunday, February 26, 2017

RC Rukwa ataka Mradi wa Maji Sakalilo utumiwe kuzalisha mazao zaidi

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Kamishna Mstaafu Zelote Stephen amewataka maafisa kilimo na umwagiliaji kuhakikisha wanatoa elimu a kutosha kwa wakulima ili kuweza kuutumia vizuri mradi wa maji katika kijiji cha Sakalilo, Wilaya ya Sumbawanga kwa kufanya kilimo cha umwagiliaji na kuzalisha mazao mengi zaidi


No comments:

Post a Comment