Sunday, February 26, 2017

Wananchi Ntendo wamuomba Mh. Zelote Stephen awatetee walipwe fidia

Wananchi wa Kijiji cha Ntendo wamuomba Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Kamishna Mstaafu Zelote Stephen awatetee ili wapate fidia kwa nyumba zilizowekewa alama ya "X" nyekundu kwa madai ya kuwa barabara hiyo imekikuta kijiji na sio kijiji kuikuta barabara.


No comments:

Post a Comment