Tuesday, July 12, 2016

USAID Kuimarisha Mfumo wa Sekta za Umma Rukwa.Mkuu wa Wilaya ya Sumbwanga Dk. Halfan Haule akimwakilisha Mgeni Rasmi Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, akisoma Hotuba Fupi juu ya Semina ya Uzinduzi wa kimkoa wa Mradi wa Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (Public Sector System Strengthening - PS3)

PS3 inalenga kuunda ushirikiano na erikli ya Tanzania kwaajili ya Kuimarisha mifumo ya sekta za umma yakiwemo masuala ya utawala bora, rasilimali watu, fedha, utoaji wa taarifa na utafiti tendaji. ushirikiano wa huu wa PS3katika ngazi ya serikali kuu na Halmashuri una nia ya kukuza utoaji bora na maumizi ya Huduma za Umma hususan kwa jamii ambazo hazijanufaika vya kutosha.


PS3 itafanya kazi na serikali kuu pamoja na Halmashauri 93 kwa muda wa miaka mitano katika mikoa 13 ambayo ni Iringa, Dodoma, Kagera, Kigoma, Lindi, Mara, Mbeya, Morogoro, Mtwara, Mwanza, Njombe, Rukwa na Shinyanga. 
Uongozi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa waliohudhuria kwenye Semina ya Uzinduzi wa kimkoa wa Mradi wa Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (Public Sector System Strengthening - PS3) pamoja na wakuu wa Wilaya tatu za Mkoa wa Rukwa.
Baadhi ya Wajumbe waliohudhuria kwenye Semina ya Uzinduzi wa kimkoa wa Mradi wa Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (Public Sector System Strengthening - PS3)
Mkuu wa Wilaya ya Nkasi Mh. Said Mtanda akitoa neno la Shukran Kwa Mradi wa Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (Public Sector System Strengthening - PS3) na Hotuba iliyotolewa na Mgeni Rasmi wa Sherehe Hiyo.
Mratibu wa Semina Ndg. Misasi akielezea Taswira ya Mkoa wa Rukwa katika Semina ya Uzinduzi wa kimkoa wa Mradi wa Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (Public Sector System Strengthening - PS3)


Baadhi ya Waliohudhuria katika Semina ya Uzinduzi wa kimkoa wa Mradi wa Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (Public Sector System Strengthening - PS3)
Emanuel Malangalila akito amaelezo kamili juu ya mradi katika Semina ya Uzinduzi wa kimkoa wa Mradi wa Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (Public Sector System Strengthening - PS3)
Dk. Peter Kilima akiwasilisha Mada ya Utawala Bora na Ushirikishwaji wa wananchi katika Semina ya Uzinduzi wa kimkoa wa Mradi wa Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (Public Sector System Strengthening - PS3)
Baadhi ya Waliohudhuria katika Semina ya Uzinduzi wa kimkoa wa Mradi wa Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (Public Sector System Strengthening - PS3) wakimsikiliza Bi Simya akiwasilisha Mada ya Rasilimali watu.
Baadhi ya Waliohudhuria katika Semina ya Uzinduzi wa kimkoa wa Mradi wa Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (Public Sector System Strengthening - PS3)
Steven Kirama akiwasilisha Mada ya Mifumo ya Fedha katika Semina ya Uzinduzi wa kimkoa wa Mradi wa Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (Public Sector System Strengthening - PS3)
Bunto Mbozi akiwasilisha Mada ya Mifumo ya Mawasiliano katika Semina ya Uzinduzi wa kimkoa wa Mradi wa Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (Public Sector System Strengthening - PS3)
Zakayo Mahindi akiwasilisha mada ya Tafiti Tendaji katika Semina ya Uzinduzi wa kimkoa wa Mradi wa Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (Public Sector System Strengthening - PS3)
Wafanyakazi wa Shirika la Maendeleo ya Kimataifa la Marekani (USAID) ambao ni waendesaha Semina ya Uzinduzi wa kimkoa wa Mradi wa Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (Public Sector System Strengthening - PS3) wakiwa wamepiga picha na wakuu wa Wilaya tatu za Mkoa wa Rukwa.
Uongozi wa Halmashauri ya Manispaa ya Sumbawanga waliohudhuria kwenye Semina ya Uzinduzi wa kimkoa wa Mradi wa Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (Public Sector System Strengthening - PS3) wakiwa wamepiga picha na wakuu wa Wilaya tatu za Mkoa wa Rukwa.
Uongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga waliohudhuria kwenye Semina ya Uzinduzi wa kimkoa wa Mradi wa Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (Public Sector System Strengthening - PS3) wakiwa wamepiga picha na wakuu wa Wilaya tatu za Mkoa wa Rukwa

Uongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi waliohudhuria kwenye Semina ya Uzinduzi wa kimkoa wa Mradi wa Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (Public Sector System Strengthening - PS3) wakiwa wamepiga picha na wakuu wa Wilaya tatu za Mkoa wa Rukwa.

Uongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kalambo waliohudhuria kwenye Semina ya Uzinduzi wa kimkoa wa Mradi wa Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (Public Sector System Strengthening - PS3) wakiwa wamepiga picha na wakuu wa Wilaya tatu za Mkoa wa Rukwa.

Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kalambo James Makwinye akiuliza swali katika semina ya Uzinduzi wa kimkoa wa Mradi wa Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (Public Sector System Strengthening - PS3)
Katibu Tawala Msaidizi Serikali za Mitaa Albinus Mgonya akitoa ufafanuzi wa Mipango na miradi mbalimbali ya Serikali inyoendelea katika Mkoa wa Rukwa.
Uongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kalambo waliohudhuria kwenye Semina ya Uzinduzi wa kimkoa wa Mradi wa Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (Public Sector System Strengthening - PS3) wakijadiliana juu ya changamoto na matarajio ya Mradi huo


Uongozi wa Halmashauri ya Manispaa ya Sumbawanga waliohudhuria kwenye Semina ya Uzinduzi wa kimkoa wa Mradi wa Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (Public Sector System Strengthening - PS3) wakijadiliana juu ya changamoto na matarajio ya Mradi huo


Uongozi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa waliohudhuria kwenye Semina ya Uzinduzi wa kimkoa wa Mradi wa Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (Public Sector System Strengthening - PS3) wakijadiliana juu ya changamoto na matarajio ya Mradi huo baada ya kukaa vikundi kwaajili ya Zoezi la mjadala kwa kila Halmashauri na ofisi ya Mkuu wa Mkoa.

Mkoa wa Rukwa wapokea ripoti ya Uchaguzi Mkuu wa 2015 kutoka NEC

Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga Dk. Halfan Haule (katikati) akimwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Rukwa katika Makabidhiano ya Ripoti ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2015 kwa Mkoa wa Rukwa iliyotolewa na Tume ya Uchaguzi ya Taifa iliyowakilishwa na Janeth Kimati (wa kwanza kulia waliokaa) na Kaimu katibu Tawala Mkoa wa Rukwa David Kilonzo (wa kwanza kushoto waliokaa)

Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga Dk. Halfan Haule akipokea ripoti ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika mwaka 2015 kutoka kwa Mwakilishili kutoka Tume ya Uchaguzi ya Taifa Janeth Kimati katika Ofisi za Mkuu wa Mkoa. 

Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga Dk. Halfan Haule akipokea ripoti ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2015 kutoka kwa Katibu Tawala Msaidizi Aboubakar Kunenge.

Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga Dk. Halfan Haule akionyesha ripoti za Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015 kwa Moa wa Rukwa alizopokea kutoka kwa mwakilishi wa Tume ya Uchaguzi ya Taifa.

Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga Dk. Halfan Haule akisoma hotuba fupi ya Shukrani kwa uongozi wa Moa wa Rukwa pamoja na Mwakilishi wa Tume ya Uchaguzi ya Taifa.

Monday, July 11, 2016

Mwenge Ulipoondoka Rukwa Kuingia Katavi

Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo Pinda akiwa ameshika Mwenge wa Uhuru wakati akiupokea Mwenge huo kutoka Mkoa wa Rukwa.
Wakimbiza Mwenge wa Mkoa wa Rukwa na Wilaya zake pamoja na Wakimbiza Mwenge Kitaifa wakikimbiza Mwenge kutoka Mkoa wa Rukwa kwenda kuwapa timu ya Mkoa wa Katavi.

Mkuu wa wa Wilaya ya Nkasi Mh. Said Mtanda akimuaga mmoja wa wakimbiza Mwenge kitaifa Nahoda Makame Nahoda wakati mwenge uo ulipokabidhiwa kutoka Wilaya ya Nkasi kwenda kwa Ofisi ya Mkuu wa Rukwa kabla ya kukabidhiwa kwa Mkoa wa Katavi. 

Kiongozi wa mbio za Mwenge kitaifa George Jackson Mbijima akisalimiana na timu ya Mwenge kimkoa akitokea kukimbiza Mwenge katika Wilaya ya Nkasi.

Mkuu wa Wilaya ya Nkasi Mh. Said Mtanda akikabidhi Mwenge wa Uhuru kwa Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa wa Rukwa David Kilonzo 

Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa wa Rukwa David Kilonzo akipokea Mwenge kutoka kwa Mkuu wa Wilaya ya Nkasi Mh. Said Mtanda 


Waanafunzi wa Shule za Msingi pamoja na wananchi mbalimbali wa Mkoa wa Katavi wakiusubiri Mwenge wa Uhuru kwa Hamu katika Kijiji cha Mpimbwe.

Kutoka kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Nkasi Mh. Said Mtanda, Mkuu  Wilaya ya Sumbawanga Dk. Halfan Haule, Mkuu wa Wilaya ya Kalambo Mh. Julieth Binyura pamoja na Katibu Tawala wa Wilaya ya Nkasi Festus Chonya baada ya kuaga Mwenge wa Uhuru ulioelekea Mkoa wa Katavi

Watumishi wa Mkoa wa Rukwa wakijitayarisha kuuaga mwenge wa uhuru kutoka Mkoa wa Rukwa Kwenda Mkoa wa Katavi.

Baadhi ya wajumbe wa Kamati ya Ulinzi na Usalama wa Wilaya ya Nkasi waliohudhuri akatika Kuuaga Mwenge wa Uhuru Ukielekea Mkoa wa Katavi.

Kaimu Katibu Tawala Mkoa wa Rukwa David Kilonzo akimuaga mmoja wa Mkimbiza Mwenge Kitaifa Alex Kayuni na kuwakabidhi wakimbiza Mwenge hao kwa Mkuu wa Mkoa wa Katavi Meja Jenerali Mstaafu Raphael Muhuga

Baadhi ya Wakimbiza Mbio za Mwenge Kitaifa wakipa wamejipanga kubadilishiwa Skafu ishara ya kutoka katika Mkoa wa Rukwa kuingia katika Mkoa wa Katavi.  

Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo Pinda akimkaribisha Mmoja wa wakimbiza Mwenge Kitaifa Lucia Makafa katika Mkoa wa Katavi.

Kiongozi wa mbio za Mwenge Kitaifa George Jackson Mbijima akiagana na Makamu Katibu Tawala Mkoa wa Rukwa Aboubakar Kunenge kutoka kwa wakimbiza Mwenge wa Mkoa wa Rukwa.

Kiongozi wa mbio za Mwenge Kitaifa George Jackson Mbijima akibadilishiwa Skafu na Skaut Ishara ya Kutoka Mkoa wa Rukwa kwenda Mkoa wa Katavi.Katibu Tawala wa Mkoa wa Katavi Paul Chagonja akipokea mwege kutoka kwa Kaimu Katibu tawala wa Mkoa wa Rukwa (hayupo pichani)

Mkuu wa Mkoa wa Katavi Meja Jenerali Mstaafu Raphael Muhuga akipokea Mwenge wa Uhuru kutoka kwa Katibu Tawala wake Paul Chagonja (hayupo pichani)

Kutoka Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Katavi Meja Jenerali Mstaafu Raphael Muhuga,Kiongozi wa mbio za Mwenge Kitaifa George Jackson Mbijima pamoja na Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo Pinda wakiusubiri Mwenge wa Uhuru kutoka Mkoa wa Rukwa.
Mkuu wa Mkoa wa Katavi Meja Jenerali Mstaafu Raphael Muhuga akiupokea Mwenge wa Uhuru kutoka kwa Mmoja wa wakimbiza Mwenge kitaifa Alex Kayuni, baada ya kuwasili kutoka Mkoa wa Rukwa.

Mwenge Ulipoingia Wilaya ya Nkasi Kutoka Sumbawanga.

Mkuu wa Wilaya ya Sumbwanga Dk. Halfan Haule akisoma risala ya miradi mbalimbali iliyofanyika Kwenye Manispaa Sumbawanga

Mkimbiza Mwenge Kitaifa Nahoda Makae Nahoda akibadilishiwa Skafu mpya ishara ya kuhama kwa Mwenge kutoka Halmashauri kutoka Manispaa ya Sumbawanga kwenda Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi

Mkuu wa Wilaya ya Nkasi Mh. Said Mtanda akimkaribisha Mkimbiza Mwenge Kitaifa Nahoda Makae Nahoda katika Wilaya yake. 

Mkuu wa Wilaya ya Sumbwanga Dk. Halfan Haule akiagana na Kiongozi wa mbio za Mwenge George Jackson Mbijima wakati Mwenge ulipokuwa ukihama kutoka Halmashauri ya Manispaa ya Sumbawanga kwenda Halmashauri ya Manispaa ya Nkasi.

Kutoka Kushoto, Mkurugenzi wa Halmashauri ya manispaa ya Sumbawanga Hamid Njovu, Katibu Tawala wa Wilaya ya Sumbawanga Christina George Nzera, Mkuu wa wilaya ya Sumbawanga Dk. Halfan Haule na Afisa Michezo wa Manispaa ya Sumbawanga Adam Evarist wakiuangalia Mwenge (haupo pichani) ukielekea Wilaya ya Nkasi.

Umati kutoka Wilaya ya Nkasi Ukiusubiri kwa Hamu Mwenge wa Uhuru ukitokea wilaya ya Sumbawanga

Muu wa Wilaya ya Nkasi Mh. Said Mtanda akimkaribisha Mkimbiza Mwenge wa Kitaifa Lucia Makafa katika Wilaya ya Nkasi.

Kiongozi wa mbio za Mwenge George Jackson Mbijima akisindikizwa na Skout kutoka Wilaya ya Sumbawanga na kuingia Wilaya ya Nkasi

Muu wa Wilaya ya Nkasi Mh. Said Mtanda akimkaribisha Kiongozi wa mbio za Mwenge George Jackson Mbijima katika Wilaya ya Nkasi.

Mkuu wa wilaya ya Sumbawanga Dk. Halfa Haule akimkabidhi Mwenge wa uhuru Muu wa Wilaya ya Nkasi Mh. Said Mtanda.

Mkuu wa Wilaya ya Nkasi Mh. Said Mtanda akiupokea Mwnge wa Uhuru kutoka kwa Mkuu wa wilaya ya Sumbawanga Dk. Halfa Haule 

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi Julius Mselechu akiupokea Mwenge wa Uhuru ikiwa ni ishara ya kuendelea nao katika Miradi ya Halmashauri hiyo.

Magari ya Msafara wa Mwenge Ukisubiriri Kuingia Wilaya ya Nkasi Ukitokea Wilaya ya Sumbawanga.